News

#PICHA

  Ntaweka picha nkipenda.... Nkipenda ndio ntaweka picha Sitawaficha nimpendae ju najuwa yeye ni maua Sabuni ya moyo wangu uso wangu utauona uking'aa ishara tosha...kuwa nlimpata kipenzi cha moyo wangu So...nkipenda ntaweka picha   Ntaweka picha ya bwana ampendaye bibi,kijana hatamani mabinti...picha ya kumpenda in a thousand ways   Ntaweka picha ya bibi na bwana Kwa mapenzi yenye hawaezi achana aty

Read More