Sunday, December 3, 2023
Home > Art and Poetry > BOY THE CHILD

BOY THE CHILD

Wacha niji-introduce
My name ni boy child
ule child akizaliwa alipata gender ni boy
Na ule boy akizeeka tabia zilibaki kuwa za child
Sex ni male aka boy but sex ni game, kwetu pia but man sitataja the toy,

See nilizaliwa in a society where I made my own toys
Society imeniacha nimake my own choices on every basic things kwa life
but still na face harsh and critical jusdgement from my peers
Success story yangu iko coloured na pain and tears
But machozi ni kimoyo moyo juu nikishade
oooh man ntaitwa weak so itabaki nimeresist emotions for years
First of all siezi fast juu hormanal set up zangu nikama ukuwa imesettia minyoo alarms at different times of the day
nowander nakulanga kama insect iko bado kwa life cycle niite pupa
Nina pupa pia kama fisi
Meaning fostering individualism stability and independence
Actually niite fisi juu natary kufoster, individualism stability na indipendence but the system is rigged na server ziko on our visual ability
Our eyes hukuwa deceived by looks
nowander si hukula kwa macho na pleasure ndo chakula
si juzi tuligeuza dunia ikakuwa shamba la wanyama
sacco ni ya mafisi
wanadada sijui kama walianza kuhatch but si huwaita chicks
dawa si hutumia kutibu headaches sai naskia zinaitwa ndovu
target zetu in the gym ni kukuwa beast

wait
ama bado simake sense
kunywa Fanta na johnnie walker
itaopen senses na ikupe nguvu ya kutembea na mimi kwa hii movement
..Point is negligence ya basic things kama parental care ndo imedare kumaliza existence ya this endangered species inaitwa boy child

Tukizaliwa walianza kutupa care na roho but kumalizia walituambia tumalizie na mwili
Nowander si hujikaza kisabuni not knowing pia sabuni ikitumiwa sana pia huisha
Wamecheza na emotion zetu kama basket ball
The lucky ones wako na ring, the rest tunangoja kuingiziwa box-Casket
Campaign za bloggers on social media zinachampion struggle za hustler anaeya panda mbegu,lakini mavuno ni shida na success ya the other gender
See ,tumegamble na savings hadi odds za sisi kuwa saved nikama za arsenali
So deteremined but, ata umbwa mzee walisema hawezifunzwa new tricks
Kama politricks nimefunzwa nisbalame the system
but niblame wasee wana manage the systems
I fight sitablame the boy child
Nitablame ule boy amekataa kugrow up bado ni child,
Hajui life ni sugarcrush, utapatana na kina candy at each level na ile sauti nyororo wakisema sweet
But ukifocus on the price utarise pole pole ikiwa mwendo hadi level una desire
Nitablame ule boy odinary amemake odi kuwa lifestyle
Nitablame ule boy alipatana na dem wa ma shisha,na akatumia school fees ku order pot kadhaa za sumu na mashida
Nitablame ule paro aliambia mtoto wake you’re now a man after circumcision, akimount pressure ya mtoto kujiproove equal to the task not knowing itamdrain a lot, nikama vitz kubeba container kama trailer
Nitablame ile attention nimenyimwa, walisema cheap is expensive na talk is cheap sijui ingecost nini kunipea a lending ear

Niite ng’ombe
The only piece naget ni nikirest from life juu ya Kamba nilihang shingoni
Ndo Kamba bado ilitumika kufunga ngombe shingo zikipelekwa kulipwa kama mahari
Wait mlisema all men are dogs
Still natry kufind patner wa Jina bitches na sijajua meaning bado
Haha majukumu is my portion hata kama nimebrandiwa kuwa player wa hearts and queens
So niite poker juu kadi nikitry kupanga bado naitwa joker
Niite fisi juu bado natry kufoster individualism , stability na independence
Ata bado wakiendelea kudig for gold
Niite Obi
mi bado ndo goalsdigger

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *