Miaka Kumi
Nilikupenda tangu... nakumbuka hadi mamangu akikwambia aty utakuwa wangu... Wangu wakupenda Wangu msiri kwa yote tungeyatenda Wangu kulisha na wangu kunilisha Wangu wakuenzi masiku na miezi Wangu.... Nilikupenda Nilikupenda siku zenye hukuwa unajuwa love ni nini?!...siku zenye love kwako ilikuwa tabiya mbaya...tukitembea na wewe hizo siku ulikuwa unaskia haya Nilikupenda ukiwa mweusi...time nlikuwa na chora giza,,nai-cut out na kuipaint
Read More